Displaying 1 - 6 of 6

Mkutano wa Umisheni na Uinjilisti Duniani “pahala panapokutanisha" imani mbalimbali

Dk. Agnes Abuom, kutoka katika kanisa la Angalikana nchini Kenya, ni msimamizi wa kamati kuu ya Baraza la Makanisa Duniani (WCC). Yeye pia ndiye aliyeandika utangulizi katika kitabu kitakachotumika katika Mkutano wa WCC kuhusu Umisheni na Uinjilisti Duniani (CWME). Maelezo hapa chini, yanamuonesha Dk. Abuom akiwa katika mahojiano yanayogusia mambo mbali mbali kuhusu umuhimu wa kihistoria na maudhui ya mkutano huu wa CWME, ambao utafanyika Arusha, Tanzania mwezi Machi, tarehe 8-13.

Calls for peace in Burundi grow louder

During a solidarity visit to Burundi 1-4 March, the World Council of Churches and the All Africa Conference of Churches sent a “Peace Message” urging all parties in Burundi to promote national unity, healing and reconciliation.

WCC solidarity visit to Burundi

Amidst the current tense situation in Burundi, representatives of the World Council of Churches and the All Africa Conference of Churches have embarked on a solidarity visit to Burundi from 1 to 4 March.