Mostrando 1 - 2 de 2

Upendo wa Kristo Unauleta Ulimwengu katika Umoja na Upatanisho. Tafakuri juu ya ujumbe wa Mkutano Mkuu wa 11 wa Baraza la Makanisa Ulimwenguni, Karlsruhe 2022.

The result of the work of an international group drawn from different regions and confessional traditions, the text is intended as a resource for churches and Christians worldwide in advance of the WCC’s 11th Assembly, to take place in Karlsruhe, Germany, from 31 August to 8 September 2022. It offers biblical and theological reflections on the assembly theme, inspired by a biblical verse – “For the love of Christ urges us on” (2 Cor. 5:14) – against the backdrop of critical issues confronting churches and humanity as a whole. The text is available initially in four languages – English, French, German, and Spanish.

Kusitasita kukubali chanjo kunaleta tena changamoto nyingine

Wakati mipango ya utoaji chanjo ikifanyika katika nchi zaidi na zaidi, kuna matumaini ya kumalizika kwa janga ambalo limeleta hofu na wasiwasi kote ulimwenguni tangu mapema mwaka 2020. Kurudi katika hali ya kawaida ya maisha ya kila siku, ambapo watu wanaweza kushirikiana na familia na marafiki, kwenda kazini kama walivyokuwa wakifanya na kumwabudu Mungu pamoja kanisani siku za Jumapili, kunasubiriwa kwa hamu.